Category: Kenya Gospel Lyrics

Lyrics: Yuko Mungu – Alice Kimanzi feat. Paul Clement

VERSE 1:Giza totoro yanizingiraMiale haijanifikiaIlhali kumekucha, pambazukaImani, yashuka yadidimiaAmani nayo yafifiaEloi lama sabachthani CHORUS:Yuko Mungu anayewezaYuko Mungu anayetendaMwamini Yeye, mwamini YeyeHutoaibika VERSE 2:Giza likiwa ni zito Bwana atawasha taaSababu Yeye ni Mungu mwenye amandlaAtarejesha amani, atarejesha furahaUlivyo vipoteza kwa muda mrefu atarejesha mara… BRIDGE:Pale ninaposhindwa nani wakuni wezesha(Mungu Pekee, ndiye awezaye)Na nikiwa vitani nani wakunishindia(Mungu…

Lyrics: Asante – Kaki Mwhihaki

Intro:(Ululations, whistles, celebration)Africa!Shangwe na vigelegele! OohIwo ti pa mimo laayeMawuwoe! You are my strength when I am weakYou are my voice when I cant’s speakYou are the son that I will sing(echoes…imba, wimbo, imba wimbo)You are the love that never leavesAsante (ah-sahn-teh)AkpeErokamano (eh-ro-kah-mano)Na Gode (eeh)I have come to say I thank you LordNgi-ya-bongaNatotela! (Interlude: ululations…woza!…

Lyrics: Nijaze – Janet Otieno

Verse 1Roho mtakatifu njoo utawaleWewe uliye juu ya yoteNinakuomba utawaleNataka nizame ndani na ndaniZaidi, zaidi ya fahamu zanguSura yako iumbike kwanguMapenzi yako yatimizweUwepo wako uwe fungu languMi napendezwa sana naweBridgeEwe roho wa MunguFanya makao ndani yanguEwe pumzi yanguFanya makao ndani yangu ChorusNijaze nijazeNijaze bila kukomaNijaze nijazeNijaze bila kukoma Verse 2 Mwalimu wa walimuNifunze leo nisiwe…

Gospellyricsng

Lyrics: Jina Lako (Your name) – Lisa Pitkin

Nani aliye kama wewe mwokozi YesuHakuna nguvu kama zako, wewe utuongoza.. Hakuna mwingine anastahili sifa zetu, hakuna jina lina okowa ila Lako Nashukuru dhabihu ya ibaada yakoNashukuru upendo wako Nainua Jina LakoNainua Jina Lako Yesu x2Jina Lako x3Nainua Jina Lako Nashukuru dhabihu ya ibaada YakoNashukuru neema yako Nainua Jina LakoNainua Jina Lako Yesu×2Jina LakoNainua Jina…

Gospellyricsng

Lyrics: Wanitosha – Jason Kinyua

Neema yako, yanitoshaUkuu wako wanitoshasina chochote, chakujivuniaImani yako yanitosha (X2) Sina chochoteChakujivunia ila uwepo wako Bwana,Sina lolote la kujivunia ila upendo wako Bwana. (X2) Nguvu zako zanitoshaWema wako wanitoshasina chochote chakujivuniaFadhili zako zanitosha (X2) Sina chochoteChakujivunia ila uwepo wako Bwana,Sina lolote la kujivunia ila upendo wako Bwana. (X2) Sina chochoteChakujivunia ila uwepo wako Bwana,Sina lolote…

Gospellyricsng

Lyrics: Wewe ni Mungu (You are God)

Nilimgoja Bwana kwa subira (I patiently waited for the Lord)Akaniinamia akasikia kilio changu (He leaned down and heard my cries)Akanipandisha toka shimo la uharibifu (He lifted me from the pit of destruction)Toka udongo wa utelezi (From the miry clay)Akaisimamisha miguu yangu mwambani (He stood me on a Solid Rock)Akaziimarisha hatua zangu (And strengthened my steps)Akatia…

Lyrics: Futa (Wipe Away)

Yale yale ya ujana maji ya moto n’kaukurupukia(The same youth is like hot water I jumped on it)Leo hii wawili watoto wanaiangalia (Today two children look to me)Napambana sana na changamoto kuwatafutia(I struggle with challenges to provide for them)Nikikosa, mzazi mwenzangu anakuja moto (If I lack, my co-parent argues)Matusi kunishushia (Verbally insults me)Natumia nguvu kutafuta…

Close